Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Muleba Ndugu Elias Mhwago Kayandabila (katikati) akiwa kwenye mazungumzo na Viongozi wa benki ya NMB tawi la Muleba mara baada ya kukabidhiwa zawadi maalum iliyoandaliwa na benki ya hiyo.Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Muleba Ndugu Elias Mhwago Kayandabila akikabidhiwa zawadi maalum iliyoandaliwa na benki ya NMB na Meneja Lukanga Makusu (kushoto) wa Tawi la NMB Muleba
More Stories
Mke wa Rais wa Finland atembelea Makumbusho ya Taifa
Lulida ataka viwanda vilivyofungwa vifufuliweÂ
WMA yahakiki vipimo asilimia 99 ya lengo