December 27, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Kampeni CDM: Mapokezi Tundu Lissu Mwanza – PICHA

Picha za matukio mbalimbali zikionesha mapokezi makubwa ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu akiingia Jiji la Mwanza kutokea Uwanja wa Ndege wa Kimafaifa wa Mwanza kuelekea Uwanja wa Furahisha, leo Septemba 1, 2020.