December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Kampeni CCM: Nzega wanasubiri kwa hamu

Wananchi wa Nzega mkoani Tabora wakimsubiri Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Magufuli ili kumsikiliza akinadi sera za Chama hicho katika Kampeni za Uchaguzi wa madiwani ,wabunge na urais katika viwanja vya parking Nzega.

Bendi ya T.O.T ikitumbuiza katika Viwanja vya Parking Nzega wakimsubiri Mgombea Urais wa CCM, Dkt.John Magufuli, mkoani Tabora

Baadhi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi wa wilaya ya Nzega wakicheza taarabu katika viwanja vya Nzega mjini kabla ya kufanyika kwa mkutano wa kampeni utakaohutubiwa na Mgombea wa Urais CCM, Dkt. John Magufuli leo