Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hasabu za Serikali za Mitaa baada ya kukagua ujenzi wa jengo la Makao makuu ya Halmashauri ya Msalala ,wilayani Kahama.Makamu mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hasabu za Serikali za Mitaa ,Selaman Zedi akiongea n waandashi habari baada ya kamati kumaliza kukagua miradi ya ujenzi wa majengo ya makao makuu ya halmashauri ya Msalala na hospitali ya kuu ya halmashauri hiyo kulia ni mkuu wa mkoa wa Shinyanga ,Sophia Mjema na kulia ni Mjumbe wa Kamati Rashid Shangazi mbunge wa Mlalo.
More Stories
Madiwani Ilala walia na dampo la Pugu
TLS yaishauri serikali kuanzisha chombo maalumu
Ridhiwani ataka watu wenye ulemavu wapewe fursa