Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji (Rufani), Mhe. Jacobs Mwambegele akizungumza katika Mkutano wa Tume na Wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2025. Picha na INEC.
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akiwasilisha mada ya Maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, katika Mkutano wa Tume na Wawakilishi wa Watu wenye Ulemavu, uliofanyika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Julai 31, 2025.






More Stories
GOODWILL yazindua miradi ya upanuzi wa kiwanda Mkuranga
Wagonjwa 500 wafanyiwa upasuaji wa nyonga na goti MNH-Moganzila
Mgejwa:Nishati Safi ya Kupikia ni fursa ya kiuchumi