December 25, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Idris Sultan ataka watu kuheshimiana

Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online

MSANII wa vichekesho hapa nchini Idris Sultan ameitaka jamii kujenga tabia ya kuheshimiana kwa kila mmoja amekuwa katika mazingira tofauti.

Akizungumzia hilo kupitia Ukurasa wake wa Twitter Idris amesema, jamii haiwezi kuwa sawa kutokana na kila amezaliwa katika mazingira anayoyajua yeye.

“Tumekuzwa tofauti, tumezaliwa tofauti,tuna uelewa tofauti, hatuwezi kuwa sawa katika maisha ila tunaweza heshimiana hata kwa tofauti zetu,” amesema Idris.