January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

HABARI KATIKA PICHA

[Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof Kitila Mkumbo (aliyesimama katikati) akimsikiliza Meneja uzalishaji wa Kiwanda Cha KMTC kilichoko Moshi, Hamisi Hango (Mwenye fulana nyeusi) juu ya mashine mbalimbali zinazotengenezwa na Kiwanda hicho kilichopo chini ya Shirika la Taifa la Maendeleo NDC Katika Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam jana. Na mpiga picha wtu