Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Katibu wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam Hussein Athumani Egobano akitoa salaam za UVCCM Mkoa wa Dar es salaam mbele ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Angela Kairuki wakati wa tukio la Kijani First time Voters tawi la UVCCM St Joseph Mbezi amesema kuwa Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Dar es salaam watazitafuta na zitafurika katika mabosi ya kura na CCM itashinda kwa kishindo.
Kampeni ya First time voters ndani ya Mkoa wa Dar salaam inakusudia kuwafuatilia na kuwafikia vijana wote ambao mwaka 2025 watapiga kwa mara ya kwanza na kuwahamisha kutiki kwa Dkt Samia Suluhu Hassani October 2025




More Stories
Wanawake jumuia ya kikristo Tanzania CCT wafundana kuelekea siku ya Wanawake Duniani
Dkt.Tulia,Mwalunenge waungana kutatua changamoto ya barabara
TUCASA yaomba kuanzishwa sheria malipo sekta ya ujenzi