Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Phillip Mpango akisalimiana na Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb)wakati wa Ziara ya Makamu wa Rais kufungua Maabara ya Afya ya Jamii Hospitali ya Kibong’oto Wilaya ya Siha, mkoani Kilimanjaro.
Katika salamu zake kwa wananchi wa Siha, Mhandisi Mahundi amesema hali ya upatikaji wa maji wilayani Siha ni zaidi ya asilimia 90.
Mipango ya Serikali ni kuhakikisha inakamilisha miradi na kuanzisha mipya ili huduma hiyo ifikie asilimia 100.
More Stories
Mwili wa Hayati Msuya wawasili Uwanja wa Ndege wa (KIA)
Dkt. Biteko avutiwa mwitikio Tulia marathon
Mapato yasiyo ya kodi yafikia asilimia 67, OMH yadhamiria kufikia lengo la mwaka