December 24, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Dkt.Malole ajitosa tena kugombea ubunge

Na Joyce Kasiki,timesmajira online ,Dodoma

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa jimbo Dodoma Mjini mwaka 2010-2015,Dkt.David Malole amechukua fomu tena akiombaridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),kugombea tena nafasi hiyo.

Dkt.David Malole akipokea fomu ya kuwania ubunge jimbo la Dodoma Mjini kupitia CCM.

Dkt.Malole ameomba nafasi hiyo kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa jimbo hilo.