,Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ambaye pia ni Mgeni rasmi (Katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi waliohudhuria Ufungaji rasmi wa Mkutano Mkuu wa Wenyeviti wa Bodi na watendaji Wakuu wa Taasisi (CEO’s Forum) akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade na Mwenyekiti wa CEO’s, Dkt. Latifa Khamis ( wa kwanza kutoka kulia).


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade ) na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wakurugenzi Wakuu, Dkt.Latifa Khamis, akimpokea Mgeni rasmi Dkt. Dotto Biteko Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa ajili ya kufunga rasmi mkutano mkuu wa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi (CEO’s Forum), unaotamatika Leo Agosti 26,2025 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.


More Stories
Usajili wa Laini za Simu: Jilinde Dhidi ya Kutumiwa Vibaya kwa Utambulisho Wako
TTCL yaadhimisha siku ya Wanawake kwa kutoa msaada JKCI
Wananchi Dodoma washauri TBA kujenga nyumba za kupangisha watu binafsi