January 12, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Dkt. Biteko ashiriki misa takatifu ya kumwombea Hayati Dkt. Magufuli

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amejumuika na viongozi na wananchi mbalimbali katika misa Takatifu ya kumwombea Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.

Misa inafanyika katika Kanisa  Katoliki, Parokia ya Mt. Yohana Maria Muzeyi, wilayani Chato mkoani Geita.