January 23, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Dkt.Biteko ashiriki kongamano la Nishati Safi ya kupikia Zanzibar

Na Mwandishi wetu,Timesmajira

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto leo Agosti 23, 2024 anashiriki Kongamano la Nishati Safi ya Kupikia linalofanyika katika Hoteli ya Kwanza, Kizimkazi-Zanzibar.

Kabla ya kushiriki Kongamano hilo, Dkt.Biteko alitembelea Mabanda ya Maonesho ya Wadau wa Sekta ya Nishati Safi ya Kupikia ambao wanatoa elimu ya matumizi ya nishati hiyo na teknolojia zake.

Kaulimbiu “Upishi Salama kwa Afya ya Mpishi na kwa Maendeleo ya Jamii”