January 11, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Dkt. Biteko akagua matengenezo ya mitambo Kidatu

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 1 Aprili, 2024 ametembelea Kituo cha kuzalisha umeme cha Kidatu, wilayani Kilombero mkoani Morogoro kukagua matengezo ya Mitambo kufuatia hitilafu kwenye mfumo wa kudhibiti kiwango cha maji kwenye mitambo ya kufua umeme iliyosababisha athali kwenye Gridi ya Taifa iliyosababisha maeneo mengi ya Nchi kukosa huduma ya umeme.

Taarifa rasmi itawasilishwa