January 13, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

DC Handeni apokea Mwenge wa Uhuru

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Seriel Mchembe leo Mei 30 amepokea Mwenge wa Uhuru 2022, kijijini Kwa msisi Wilayani humo.

Ambapo amesema Mwenge ukiwa wilayani humo utazindua, kuweka mawe ya msingi na kukagua jumla ya miradi 8 yenye thamani ya Tshs Bilioni 2.2.