December 26, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

CBE waendelea kutoa huduma sabasaba

Juma la Pili la Maonesho ya Kimataifa ya 48 ya Biashara, Mratibu wa Masoko, Chuo cha Elimu ya Biasha (CBE) Bi. Lilian Mashalo akiongea na baadhi ya wananchi waliotembelea banda la Chuo leo Julai 08, 2024 kwa ajili ya kupata taarifa zaidi kuhusu huduma zinazotolewa na Chuo hicho.