Na Heri Shaaban Mkuu wa Wilaya Ilala Arch,Ng'wilabuzu Ludigija amewagiza wasimamizi wa Barabara za Mijini na Vijijini Tarura kuwasimamia Wakandarasi...
Habari
Na Hadija Bagasha Tanga, Zoezi la uchanjaji wa chanjo ya Uviko-19 awamu ya pili katika Mkoa wa Tanga halifanyi vizuri...
Na Penina Malundo, Timesmajira Online CHAMA cha Wataalamu na Wanataaluma wa Ustawi wa Jamii Tanzania(TASWO),kimempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu...
Na Heri Shaaban, TimesMajira Online WIZARA ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi , imesema Watendaji na Wenyeviti wa Serikali...
Judith Ferdinand, Mwanza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel,amekabidhiwa jumla ya vyumba vya madarasa 92 vyenye thamani ya...
Na Esther Macha, Timesmajira Online, Mbeya NAIBU Waziri wa Maji Mhandisi, Maryprisca Mahundi( Mb)amewata wazazi kuwalea watoto wa katika maadili...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA) tawi la Tanzania,wamefanya mafunzo maalumu ya kuwajenga waandishi...
Na Mwandishi wetu Kampuni ya Champion Rise inatarajia kutoa tuzo za mchezo wa kuogelea hapa nchini ambazo zinatarajia kufanyika Dicember...
Na Hadija Bagasha Tanga, Serikali imeelekeza watendaji wa wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kutafuta namna ya kuongeza muda wa matazamio...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Maonesho ya Biashara Arusha yanayojulikana kama Arusha Trade Fair ni maonesho makubwa ya kibiashara ya...