Na Mwandishi wetu, timesmajira Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amefungua rasmi tamasha la Utalii Same huku...
Habari
Na Esther Macha,TimesmajiraOnline,Mbeya JAMII na wadau mbalimbali Jijini Mbeya wameombwa kumuunga mkono Spika wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la...
Na Rose Itono, timesmajira SERIKALI imeshuhudia utiaji saini mkataba wa kibiashara na kuongeza huduma kwenye mkongo wa Taifa wa Mawasiliano...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameendelea na ziara ya kukagua...
Na Mwandishi wetu, timesmajira SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Msichana Initiative limeiomba Serikali kurishika mkono katika harakati za kumkomboa mtoto...
Na George Mwigulu,Timesmajiraonline Tanganyika. WANANCHI wenye changamoto za kiafya Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi wamatakiwa kujitokeza katika hosptali ya...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Tanzania imeahidi kuendelea kushirikiana na Japan kuimarisha na kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia uliodumu kwa miaka...
Na Hadija Bagasha, TimesMajira Online, Mkinga Serikali imeagiza kuanzishwa kwa mafunzo ya ufugaji wa samaki maramoja katika chuo cha ufundi...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online USAMBAZAJI umeme vijijini mkoani Iringa, umefanyika kwa asilimia 100 ambapo vijiji vyote 360 mkoani humo,...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko ameuagiza Uongozi wa Halmashauri...