Na Zena Mohamed,TimesmajiraOnline,Bahi. DIWANI wa kata ya chali Wilaya ya Bahi, Pius Mwaluko amewaagiza Kamati ya Mazingira Chikopelo na Makulu...
Habari
Na Mwandishi wetu,Timesmajira UPATIKANAJI wa nishati safi ya kupikia nchini Tanzania umeongezeka kutoka asilimia 6.9 mwaka 2021 hadi asilimia 23.2...
Zaidi ya wawekezaji na wafanyabiashara 100 wamehudhuria Semina ya Uwekezaji iliyofanyika leo tarehe 17/2/2026 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu...
Na Zena Mohamed,Timesmajiraonline,Dodoma TAASISI ya Kiislam ya Al-Mallid Dodoma imelalamikia watumishi wa Wizara ya Ardhi, akiwemo Kamishna na Naibu Kamishna...
📌 Yasema mradi huo ni ushahidi wa thamani ya kodi za wananchi katika kuchochea maendeleo ya nchi 📌Yahimiza ulipaji wa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Kampuni ya Airtel Tanzania imefungua maduka manne mapya ya Smart Shop katika Jiji la Arusha ikiwa ni...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Saud Al-Shidhani...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vya...
Na Zena Mohamed,TimesmajiraOnline,Dodoma MAMLAKA ya Elimu na Ufundi Stadi (VETA)imesema ili kukuza Ushiriki wa Wenye Mahitaji Maalum serikali inampango wa...
Na Mwandishi wetu,Timesmajira Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari amewaongoza Mawakili wa Serikali kutoa huduma za ushauri wa Kisheria kwa...
