Na David John,timesmajira,Online KAMSHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA), Gerald Kusaya ametoa onyo kali...
Habari
Na Penina Malundo, Timesmajira Online KADA ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Lazaro Nyalandu,amerudi rasmi katika Chama cha Mapinduzi...
Na Penina Malundo, Timesmajira Online RAIS Samia Suluhu Hassan ameshinda nafasi ya Uwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM kwa kura...
Na Yusph Digosi, TimesMajira Online, Dar es Salaam, WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imebadili utaratibu...
Na Mary Margwe, Hanang' MBUNGE wa Viti Maalum mkoani Manyara, Regina Ndege ametatua changamoto ya watoto wenye uhitaji katika Shule...
Na Veronica Simba-TSC MKURUGENZI wa Huduma za Sheria kutoka Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Wakili Richard Odongo, amewaasa wajumbe...
YANGON, Zaidi ya watu milioni 3.4 nchini Myanmar wanaweza kuingia katika hatua za wasiwasi za ukosefu wa chakula kwa miezi...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira,Online Dodoma WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania...
Na Suleiman Abeid, TimesMajira,Online Shinyanga JESHI la Polisi mkoani Shinyanga limewakamata watu 231 wakituhumiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo unyang’anyi wa...
Na Daud Magesa, TimesMajira, Online Mwanza WAFANYABIASHARA na wadau zaidi ya 1,000 wa sekta ya utalii Tanzania na nje ya...