Na Heri Shabani,TimesMajira,Online Dar SERIKALI kuanzia kesho inatarajia kuanza rasmi ujenzi wa Barabara ya Vingunguti Barakuda wilayani Ilala. Hayo yamesemwa...
Mikoani
Na Judith Ferdinand, TimesMajira Online, Mwanza MAOFISA Ugani wametakiwa kuwashauri wakulima aina gani ya mazao yanayopaswa kupandwa katika msimu huu...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Njombe WIZARA ya Mifugo na Uvuvi inaandaa mpango wa unywaji maziwa katika shule zote nchini...
Judith Ferdinand na Fresha Kinasa, TimesMajira Online, Butiama KATIKA kuendelea kumbukumbu Mwalimu Nyerere, klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa...
Na Esther Macha,Timesmajira,Online ,Chunya CHAMA Kikuu cha Wakulima wa Tumbaku (CHUTCU) wilayani Chunya mkoani Mbeya kimesema msimu wa kilimo uliopita...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira,Online KATIBU Mkuu Kilimo, Gerald Kusaya, amezindua maabara ya kisasa iliyojengwa kupitia Mradi wa Kuongeza Tija na Uzalishaji...
Na Mwandishi Wetu,TimesMajira, Online Arusha WANAUSHIRIKA wa Vyama vya Akiba na Mikopo wameshauriwa kuendelea kujifunza kuhusu Ushirika pamoja na kuendeleza...
Na Dennis Gondwe,TimesMajira Olinbe,Dodoma WANANCHI katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma wametakiwa kufanya uchunguzi wa mifugo pindi inapougua kabla ya...
Na Happiness Shayo,TimesMajira Online,Dodoma SERIKALIi kupitia Wizara ya Maji imeipatia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Dodoma (DUWASA)...
Na Eliafile Solla, TimesMajira Online SIKU ya elimu ya mlipa kodi ya pango la ardhi imetajwa kuwa mwarobaini katika utatuzi...