PICHA ZOTE NA MPIGAPICHA WETU Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini, leo Februari 25, 2024...
Kitaifa
Na. Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Arusha WATU ishirini na tano (25) wameafariki dunia huku wengine ishirini na moja (21) wakijeruhiwa...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akizungumza leo wakati wa kufungua mafunzo ya siku tatu...
Na Joyce Kasiki,Timesmajira online,Dodoma SERIKALI kupitia Mamlaka ya Kudhibiti Kupambana na Dawa za Kulevya imekamata kilogramu milioni 1.965 za aina...
Na Agnes Alcardo, Timesmajira Online, Monduli RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza viongozi mbalimbali...
Joyce Kasiki,Msomera Handeni MSOMERA KUMENOGA' ndivyo wanavyosema wananchi walioanza kuishi kijiji cha Msomera miaka mingi iliyopita pamoja na wale waliohama...
Na Joyce Kasiki,Dodoma MBUNGE wa Nkasi Kaskazini Aida Kenani (CHADEMA) ameishauri Serikali kufanya uhifadhi wa kisasa wenye manufaa na tija...
Na Joyce Kasiki,Dodoma MBUNGE wa Iramba Mashariki Francis Mtinga (CCM) ameiomba Serikali kuipa kipaumbele halmashauri ya wilaya ya Mkalama katika...
Na Joyce Kasiki,Handeni JESHI la Kujenga Taifa (JKT) kupitia Shirika lake la uzalishaji Mali (SUMAJKT) limekamilisha ujenzi wa nyumba 1000...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi...