June 18, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Breaking News:Rais Dkt.Samia afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo Manaibu Katibu Wakuu

Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Naibu Waziri,Naibu Makatibu wa Kuu,Mkuu wa Wilaya,Wakurugenzi watendaji wa Halmashauri na Majaji wa Mahakama Kuu.