January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

BREAKING NEWS: Naibu Waziri wa Katiba na Sheria atenguliwa

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Pauline Philipo Gekul.

Zuhura Yunus
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu