Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Balozi Omar Ramadhan Mapuri, leo Agosti 5, 2025 ametembelea na kukagua mafunzo kwa Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi katika Halmashauri za Wilaya ya Sengerema na Misungwi jijini Mwanza.Ziara hiyo ni sehemu ya maandalizi ya INEC kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, ikiwa na lengo la kuhakikisha ufanisi na uwajibikaji wa watendaji wa uchaguzi nchini kote.




More Stories
Wagonjwa 500 wafanyiwa upasuaji wa nyonga na goti MNH-Moganzila
Mgejwa:Nishati Safi ya Kupikia ni fursa ya kiuchumi
Tanzania kujenga Chuo Kikuu cha Usafirishaji cha Kanda