January 8, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Jackline Mkota

Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Access Bank PLC imekamilisha mchakato na kukidhi vigezo vyotevya kisheria na vya kikanuni kuhusiana naununuzi wa African Banking CorporationTanzania Limited (BancABC Tanzania). Sasa taasisi hii inaitwa Access Bank Tanzania Limited, jambo ambalo linapanua zaidi uwepowa Access Bank katika ukanda wa Afrika Mashariki. Hatua hii itakuwa ni mwendelezo uliofuatana naununuzi wa wateja binafsi, na wafanyabiasharawa kati wa Standard Chartered...