Na Joyce Kasiki, TimesMajira Online, Dodoma CHAMA cha Demokratic (DP) kimemteua Philip Fumbo kuwa mgombea nafasi ya Urais wa Jamhuri...
admin
Na Israel Mwaisaka SumbawangaWACHIMBAJI wadogo wawili Wamefariki dunia ndani ya mgodi,baada ya kukosa hewa kutokana na kuchimba shimo lenye urefu...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Lindi ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania katika Awamu ya Nne, Bernard Membe...
Na Immaculate Makilika - MAELEZO NIANZIE wapi kumuelezea Mzee wa Uwazi na Ukweli? Hebu nianzie kwenye kitabu chake cha Maisha...
Na Mutta Robert, TimesMajira Online, Geita SARAPIA Sarapia Charles mkazi wa Kitongoji cha Califonia katika Mjini Mdogo wa Katoro Wilaya...
Na Zuhura Zukheir, TimesMajira Online, Iringa VIONGOZI waliochaguliwa katika mchakato wa kura za maoni mkoani Iringa kupitia Jukwaa la Wanawake...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza siku 7 za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo...
Na Irene Clemence MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake...
Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online, Biharamulo MJASIRIAMALI na mkulima, Idrisa Twaibu Songoro amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kuwania nafasi ya...
Na Fresha Kinasa, TimesMajira Online, Mara MGANGA Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mara, Dkt. Joachim Eyembe amekuwa...