Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Mhe. Alexander Mnyeti amekabidhi madume bora 20...
admin
Na Jackline Martin, TimesMajira OnlineKatika kuunga mkono juhudi za serikali, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba wa makubaliano na kampuni...
Je, umewahi kusikia watu wakisema mtu fulani ana bahati maishani?, ukweli ni kwamba kuna watu wana bahati sana katika maisha...
Atahadharisha kemikali zilizopo kwenye baadhi ya miti
Vyuo vya Maendeleo ya Jamii vyaanza kupika kisasa kwa kutumia Nishati...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Access Bank PLC imekamilisha mchakato na kukidhi vigezo vyotevya kisheria na vya kikanuni kuhusiana naununuzi wa African Banking CorporationTanzania Limited (BancABC Tanzania). Sasa taasisi hii inaitwa Access Bank Tanzania Limited, jambo ambalo linapanua zaidi uwepowa Access Bank katika ukanda wa Afrika Mashariki. Hatua hii itakuwa ni mwendelezo uliofuatana naununuzi wa wateja binafsi, na wafanyabiasharawa kati wa Standard Chartered...
Na Jackline Martin, TimesMajira Online KIPINDI cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kimekuwa cha mafanikio makubwa...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online Taasisi isiyo ya kiserikali ya LALJI FOUNDATION imetoa msaada wa madawati 100 kwa shule za...
Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online DSM Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ameagiza mikoa na hamlashauri...
Bharat na mkewe Sangita wakiwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza shauri lao la kumjeruhi jirani yao Lalit Na Mwandishi...
Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online MSIMU wa Nne wa Kampeni ya fungua Akaunti, Weka Akiba na Ushinde inayoendeshwa na Benki...