January 9, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga Jerry Silaa akizungumza na wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na kueleza sera zake zake na kuzitekeleza mara atakapochaguliwa.

Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga

Mgombea ubunge Jimbo la Ukonga Jerry Silaa akizungumza na wafanyabiashara ikiwa ni pamoja na kueleza sera zake na kuzitekeleza mara atakapochaguliwa.
Kikundi cha akina mama wa Sauti ya Jamii Kipunguni wanaojishughulisha na ujasiriamali, pamoja na kuelimisha madhara ya vitendo vya ukeketaji wakielezea jinsi ya kutengeneza mkaa mbadala mbele ya mgombea ubunge Jimbo la Ukonga Jerry Silaa .Mpigapicha Wetu