WANAFUNZI 10 wamepoteza maisha na wengine saba kujeruhiwa baada ya bweni la shule ya msingi ya Byamungu Islam iliyoko mkoani Kagera kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika imesema kuwa bweni hilo lilikuwa na wanafunzi 74.
Taarifa zaidi kuhusiana na tukio hilo zitawafikia hivi punde.
More Stories
Breaking News: Rais Samia afanya uteuzi
Breaking News: Makalla achukua mikoba ya Makonda
Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha