March 7, 2026

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Salufu achukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Kilolo

Na Mwandishi wetu,Timesmajira

Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM),Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kilolo mkoani Iringa.

Salufu amechukua fomu hiyo leo tarehe 28 Juni 2025 katika Ofisi za CCM wilaya ya Kilolo.