May 25, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Waziri Lukuvi amuwakilisha Rais Samia Tabora

WAZIRI  wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kuwekwa wakfu Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Tabora, Mhashamu Josephat Jackson Bududu. 
Ibada hiyo imefanyika leo Mei 25, 2025 katika Kanisa Kuu la Mt. Theresia, Tabora.