May 19, 2024

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

CCM: Viwanja vya Shule ya Msingi Sokoni – Bahi (PICHA)

Wanachama wa chama cha Mapinduzi CCM wakiwa tayari katika viwanja vya Shule ya Msingi Sokoni, wilaya ya Bahi mkoani Dodoma kumsubiri Mgombea Urais wa Chama cha CCM Dkt.John Magufuli Leo.