Na Penina Malundo,TimesMajira ,Online
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Kigamboni Dkt.Faustine Ndugulile amechukua fomu leo ya kutetea nafasi yake kwa mara ya tatu ya ubunge.
Hatua hiyo imekuja baada ya jana kuteuliwa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM TAIFA kumptisha rasmi kuwa mgombea ubunge jimbo la Kigamboni kupitia tiketi ya Chama hicho.
Dkt.Ndugulile amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya Mkurugenzi wa wilaya ya Kigamboni leo majira ya mchana.

More Stories
Bilioni 7 kuwainua vijana 308 sekta ya uvuvi
Clara:Miaka 50 ya Sabasaba fursa mpya za Biashara na Uwekezaji
Usajili wa Laini za Simu: Jilinde Dhidi ya Kutumiwa Vibaya kwa Utambulisho Wako