Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)Stephen Wasira amefanya mazungumzo na Mhe. Eunju Ahn, Balozi wa Jamhuri wa Korea Nchini, Leo tarehe 18/2/2025 katika Ofisi  ndogo ya  makao makuu ya CCM Lumumba, Dar es Salaam.Â
Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamebadilishana mawazo katika namna mbalimbali yanayohusu ushirikiano wa nchi ya Tanzania na Korea.



More Stories
Tume zaunganisha nguvu kuimarisha miradi ya maendeleo
Mkenda aitaka EAC kuongeza uwekezaji Sekta ya Elimu
EAC yaweka mkazo kubadili ahadi za elimu