January 10, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Zanzibar,Oman kuendeleza ushirikiano

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman akiwa ziarani Nchini Oman, alitoa muhadhara kwenye Sultan Qaboos Higher Centre for Culture and Science, maana yake ikiwa ni Mafungamano yasiyokatika (Enduring Links) kati ya Oman na Zanzibar.