MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakifanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuzuru na kufanya sala kwenye kaburi hilo, Chato mkoani Geita.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakifanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana akisaini kitabu cha wageni wakati alipozuru na kufanya sala kwenye kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli nyumbani kwake, Chato mkoani Geita.
More Stories
RC atoa kifuta jasho waathirika 44 wa moto
OMTZD yakamilisha mipango ya kukabiliana na mafuriko Dar es salaam
Filamu ya The Rhinos of Ngorongoro yazinduliwa