

Waziri Mkuu na Mbunge wa zamani wa Monduli Edward Lowassa pamoja na mkewe Mama Regina Lowassa leo huko Monduli wamekuwa miongoni kwa wana CCM waliyomdhamini Rais John Pombe Magufuli kutetea kiti chake cha urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu baadaye Oktoba mwaka huu.Pichani Mama Regina akitoka saini fomu za udhamini mara baada ya Lowassa kufanya hivyo

More Stories
InnoIP Tanzania yazinduliwa kuimarisha ulinzi wa ubunifu
Ndejembi:Tanzania sasa inaziada ya Umeme Megawati 2375
Rais Samia azindua kituo cha JNHPP