Na Mwandishi wetu, Timesmajira Online
SHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) Leo imesheherekea urejeshwaji wa safari zake za Dar es Salaam kwenda Guangzhou kwa kusafirisha ujumbe wa makampuni 25 yanayoongoza kwa watalii nchini China.
Ujumbe huo umeambatana na vyombo 6 vya habari mashuhuri kutoka nchini humo na umewasili na Air Tanzania kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Amani Abeid Karume, Zanzibar ukitokea Guangzhou, China.
More Stories
Makonda aipongeza CRDB kuimarisha utalii kwa kutoa nyenzo za ulinzi
Serikali kutenga bajeti ya vyombo vya habari
Watoto 194 wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja