Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia, Nape Nnauye (katikati) akiteta Jambo na Kaimu Meneja tawi la NMB Wami Paul Nyoni baada ya kupokea Cheti cha shukrani wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 12 wa mwaaka wa kitaaluma wa wahariri wenye kauli mbiu ya “Sheria ya habari na maendeleo ya vyombo vya habari” unaofanyika mkoani Morogoro. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deudatus Balile na Makamu Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri, Bakari Machumu (kulia kabisa). Benki ya NMB ilishiriki kama mdhamini kwenye mkutano huo unaoendelea hoteli ya Morena, Morogoro Waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari, Nape Nnauye akimkabithi Kaimu Meneja tawi la NMB Wami Paul Nyoni (kulia) Cheti cha shukrani wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 12 wa mwaka wa kitaaluma wa wahariri wenye kauli mbiu ya “Sheria ya habari na maendeleo ya vyombo vya habari” unaofanyika mkoani Morogoro. Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deudatus Balile (kushoto) na Makamu Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri, Bakari Machumu (wapili kulia). Benki ya NMB ilishiriki kama mdhamini kwenye mkutano huo unaoendelea hoteli ya Morena, Morogoro. Post Views: 185 Continue Reading Previous FCC wateta na Wafanyabiashara wanaoingiza bidhaa NchiniNext Kamati ya Bunge yamfuta machozi mnufaika wa TASAF More Stories Habari CCM imejipanga kushinda kwa kishindo November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa  November 23, 2024 Judith Ferdnand Habari Polisi Mbeya yawataka waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi November 23, 2024 zena chitwanga
More Stories
CCM imejipanga kushinda kwa kishindo
Wanaotumia lugha za matusi,kashfa kwenye kampeni waonywa Â
Polisi Mbeya yawataka waandishi wa habari kutoa taarifa sahihi