Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Bi. Vicky Bishubo (kushoto), alipotembelea banda lao na kumuelezwa kuhusu jitihada zao walizofanya kutoa Hati Fungani ya ‘Jasiri Bond’ ambapo jumla ya Sh. bilioni 74.3 zilipatana kwa ajili ya kuwawezesha akina mama wanaofanya shughuli za kiuchumi kwenye sekta ndogo na za kati hapa chini. Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Ndg. Lawrence Mafuru (kushoto) akijadiliana jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo katika viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya Wiki ya Huduma za Fedha kitaifa. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema (kushoto) akijadiliana jambo na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo, katika viwanja vya Rock City jijini Mwanza wakati wa hafla ya uzinduzi wa maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha kitaifa. Mkurugenzi Mtendaji wa Umoja wa Mabenki Tanzania (TBA) Tuse Joune (kushoto) akizungumza na Mkuu wa Idara ya Biashara ya Serikali wa NMB, Vicky Bishubo jijini Mwanza wakati wa maonesho ya wiki ya Huduma za Fedha kitaifa. Post Views: 479 Continue Reading Previous UVCCM Kisutu watoa msaada Photocopy MashineNext RC Makalla: Hakuna tena mgao wa maji Dar More Stories Habari Maghorofa Kariakoo mikononi mwa Tume November 23, 2024 reuben kagaruki Habari ITA chatakiwa kutoa mafunzo ya viwango vya juu na kasi ya maendeleo ya Kisayansi November 23, 2024 Penina Malundo Habari Wagombea CHADEMA wakipewa ridhaa,watakuwa wawazi November 23, 2024 Judith Ferdnand
More Stories
Maghorofa Kariakoo mikononi mwa Tume
ITA chatakiwa kutoa mafunzo ya viwango vya juu na kasi ya maendeleo ya Kisayansi
Wagombea CHADEMA wakipewa ridhaa,watakuwa wawazi