January 16, 2025

Timesmajira

Gazeti Huru La Kila Siku

Okwa asajiliwa rasmi Simba Sc

Na Mwandishi Wetu, TimesMajira Online

Kuelekea kilele cha Simba Day Agosti 8 mwaka huu katika uwanja wa Benjamin Mkapa Simba Sc imemtambulisha rasmi staa Nelson Okwa kuwa katika klabu hiyo.

Mchezaji huyo raia wa Nigeria akitokea klabu ya River United ya Nigeria anayecheza nafasi ya kiungo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili na klabu hiyo.