Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
More Stories
Tanzania,Algeria kukuza ushirikiano Viwanda vya dawa
Hafla uzinduzi Mji wa Serikali yaahirishwa
Exim yaadhimisha miaka 29 yangu kuanzisha kwake