Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na Mtawala wa Dubai Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum mara baada ya kuhutubia katika Maonesho ya Dubai Expo 2020 yanayoendelea katika Mji wa Dubai leo tarehe 26 Februari, 2022. Picha na Ikulu Â
More Stories
UWT yahimizwa kusimamia malezi bora
Uwekezaji wa Michezo wavutia Watalii Tanzania
Mkurugenzi Bonde Rufiji, ahimiza utunzaji vyanzo vya maji