Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imeshiriki Maonesho ya Sita ya Bidhaa za Viwanda vya Tanzania kwasababu ni Maonesho yanayohusu Viwanda na Bidhaa zake hivyo BRELA kwa majukumu yake kisheria inatumia fursa ya Maonesho hayo kuhamasisha wenye viwanda kusajili alama za biashara na huduma ili kulinda umiliki wa alama zao.
Pia BRELA imelenga kuwahamasisha wafanyabiashara kurasimisha biashara zao ili wajulikane katika Sekta.
More Stories
DC.Lulandaka:Miaka 60 ya Muungano na mafanikio lukuki
Wahariri kujadili nafasi ya waandishi matumizi ya gesi
Furaha Fm yarudisha tabasamu kwa watoto waliokuwa wakiishi mazingira magumu,yatima.