Wanafunzi wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari Bugando ambayo ni shule ya sekondari ya pili ya Serikali katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita baada ya Shule ya Kamena, ambayo ni maalum kwa wasichana, wakiwa maabara. Shule zote mbili zimejengwa kwa ufadhiliwa wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia Mfuko wa Uwajibikaji wa Jamii.Picha inaonyesha wanafunzi wa kidato cha tano kutoka shule ya sekodanri Bugando wakitunza mazingira yao kwa kupanda miti kwenye uwanja wa shule. Shule hiyo imejengwa kwa ufadhiliwa wa kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kupitia Mfuko wa Uwajibikaji wa Jamii.
More Stories
Papa Francis afariki Jumatatu ya Pasaka akiwa na miaka 88
Kanisa la Shincheonji la Yesu nchini Ufaransa lakanusha ripoti ya Le Parisie
Vyombo vya ulinzi na usalama Mbeya,Benki kuu kushirikiana kutatua changamoto za utapeli mtandaoni