Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Balozi Donald J. Wright M.D (kushoto) akijadiliana jambo na Mtaalamu wa kutengeneza macho bandia, Rehema Semindu (kushoto) wakati wa ziara yake ndefu aliyoifanya hospitalini hapo siku ya Jumanne wiki hii. Katikati ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospital ya CCBRT, Brenda. Katika ziara hiyo, Balozi huyo wa Marekani alitembelea vitengo mbalimbali pamoja na jengo jipya litakalo hudumia watoto na akina mama wenye ujauzito hatarishi. Aliambatana pia na Sophia Nur – Mkurugenzi Mshirika wa Mawasilianona Sera – CDC, Gene Peuse – Mshauri Mwandamizi wa Ubia- USAID Tanzania na Carrie Cafaro – Mkuu wa Utekelezaji wa Programu – Vodafone USAID. Afisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Brenda Msangi (wa pili kulia) akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Balozi Donald J. Wright M.D ambaye alifanya ziara ndefu ya kujionea kazi kubwa ambayo inafanywa na hospital hiyo sambamba na kutembelea vitengo mbalimbali pamoja na jengo jipya litakalo hudumia watoto na akina mama wenye ujauzito hatarishi. Katika ziara hiyo, Balozi Wright aliambatana na Sophia Nur – Mkurugenzi Mshirika wa Mawasilianona Sera – CDC, Gene Peuse – Mshauri Mwandamizi wa Ubia- USAID Tanzania na Carrie Cafaro – Mkuu wa Utekelezaji wa Programu – Vodafone USAID. Post Views: 538 Continue Reading Previous What Women Require in a MatrimonyNext Serikali na mkakati wa kuimarisha mazao ya kilimo More Stories 2 min read Habari TASAC kuchunguza chanzo cha kupinduka na kuzama kwa MV.Clarias May 20, 2024 Judith Ferdnand 3 min read Habari Mpango atoa maelekezo 10 uboreshaji sekta ya Nyuki, aipongeza Wizara ya Maliasili May 20, 2024 Penina Malundo 1 min read Habari Dkt.Gwajima awataka wanawake kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi May 20, 2024 Penina Malundo
More Stories
TASAC kuchunguza chanzo cha kupinduka na kuzama kwa MV.Clarias
Mpango atoa maelekezo 10 uboreshaji sekta ya Nyuki, aipongeza Wizara ya Maliasili
Dkt.Gwajima awataka wanawake kuchangamkia fursa mbalimbali za kiuchumi