Na Mwandishi wetu,Timesmajira
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA), Prof. Geraldine Rasheli leo tarehe 11 Julai 2026 ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwenye maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. J. K Nyerere



More Stories
ACT Wazalendo yapinga zuio la mikutano ya hadhara
Wananchi waendelea kunufaika na Ofa za TTCL Sabasaba
Wizara yasuluhisha mgogoro wa Kampuni na Mkandarasi