



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda akiwa pamojana mshambuliaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Ivory Coast na Klabu ya Chelsea, Didier Drogba wakiwasili katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma, tayari kwa kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2026/27, leo Mei 04, 2026.

More Stories
Dkt.Homera ahimiza matumizi ya nishati safi ya kupikia
Wafanyabiashara,Wananchi tumieni bandari ya ziwa Nyasa
Madiwani wawataka wazazi kuchangia chakula mashuleni