Na Mwandishi Wetu, Timesmajira Online
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan,amemteua Tido Mhando kuwa Mshauri wa Rais, Habari na Mawasiliano.
Taarifa iliotolewa leo Novemba 19,2025 na ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Dkt.Moses M. Kusiluka,imesema mbali na Tido,pia Rais Dkt.Samia amemteua
Bakari Machumu, ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu.
Machumu anachukua nafasi Sharifa Bakari Nyanga ambaye amepangiwa majukumu mengine.
Pia amemteua Lazaro Samuel Nyalandu kuwa Balozi.

More Stories
REA yaing’arisha Nishati Safi EXPO 2026 Dar
Wananchi watahadharishwa dhidi ya bidhaa bandia
RAS apongeza mfumo kudhibiti upotevu wa mafuta